AYUBU 22 :21

Mjue sana Mungu, ili uwe na amani Ndivyo mema yatakavyokujia.

Amani pamoja na mema kudhihilika katika katika maisha yetu vinapatikana katika kumjua Mungu.

Kumjua Mungu kwa kumtafuta kwa bidii, kumpenda, kutii sheria zake ,kuhudhulia kanisani, kuweka katika matendo yale ambayo yanafundishwa na n.k

Wote kwa pamoja inatupasa kumjua Mungu na kumtafuta kwa bidii madamu anapatikana.

 

 

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Popular Posts